Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza mkuu na ukapata hela ndefu. Tatizo hapa ni je, unaemfungulia kesi ana mapene au kapuku? Maana km ni kapuku basi itabidi afungwe civil prisoners ambayo utamgharamia kwenye kifungo hichoMke wangu amezaa nje ya ndoa kabla talaka haijatolewa. Je naweza kufungua kesi ya kudai fidia n.a. kuzalilishwa?
Mwambie cha kufanya na sehemu ya kuanzia. Otherwise comment yako haijamsaidia chochotemkuu wewe unahitaji ushauri mrefu na wa kueleweka (legal opinion) na sio kujibiwa tu et ndio unaweza au hauwezi.