Fidia ya ndoa

Mkoyongi

Member
Joined
Apr 27, 2007
Posts
36
Reaction score
17
Mke wangu amezaa nje ya ndoa kabla talaka haijatolewa. Je naweza kufungua kesi ya kudai fidia n.a. kuzalilishwa?
 
Mke wangu amezaa nje ya ndoa kabla talaka haijatolewa. Je naweza kufungua kesi ya kudai fidia n.a. kuzalilishwa?
Unaweza mkuu na ukapata hela ndefu. Tatizo hapa ni je, unaemfungulia kesi ana mapene au kapuku? Maana km ni kapuku basi itabidi afungwe civil prisoners ambayo utamgharamia kwenye kifungo hicho
 
mkuu wewe unahitaji ushauri mrefu na wa kueleweka (legal opinion) na sio kujibiwa tu et ndio unaweza au hauwezi.
 
mkuu wewe unahitaji ushauri mrefu na wa kueleweka (legal opinion) na sio kujibiwa tu et ndio unaweza au hauwezi.
Mwambie cha kufanya na sehemu ya kuanzia. Otherwise comment yako haijamsaidia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…