Fido Vato wa Vatoloco Soldiers where you'r..?

Fido Vato wa Vatoloco Soldiers where you'r..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Huyu jamaa kapotelea wapi, alilisimamisha sana kundi la Vatoloco soldiers kule Arusha, kwa sasa yuko kimya sana, nakubali sana harakati zake ni mjamaa asiekwepesha ukizingua kama Maalim Nash tu,

yuko wapi Fido Vato....
 
Attachments

  • fido.jpg
    fido.jpg
    8.6 KB · Views: 59
Picha kwanza inaweza kuwa tunajua ni marehem kwa sasa kumbe jina ndo shida
 
Huyu jamaa kapotelea wapi, alilisimamisha sana kundi la Vatoloco soldiers kule Arusha, kwa sasa yuko kimya sana, nakubali sana harakati zake ni mjamaa asiekwepesha ukizingua kama Maalim Nash tu,

yuko wapi Fido Vato....
Nash Yule anaejifanyaga anajua Kiswahili?
 
Mtoto wa kishua huyo atakua anapiga harakati nyingine
 
'Na arusha na pita nitakapo na my brother Fido vato' (sinaga swaga III) by young killer kumbe ndo huyu
 
Back
Top Bottom