FidQ Kafunguka Kuhusu David Beckham Kupost Picha Bila ya kusema yupo Tanzania..

FidQ Kafunguka Kuhusu David Beckham Kupost Picha Bila ya kusema yupo Tanzania..

sanchez255

Senior Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
171
Reaction score
312
IMG_20170602_184243_554.JPG
IMG_20170602_184308_119.JPG
IMG_20170602_184336_226.JPG
IMG_20170602_184355_967.JPG
IMG_20170602_184419_139.JPG
IMG_20170602_184451_556.JPG
IMG_20170602_184521_258.JPG
Staa wa Hiphop Tanzania FidQ Leo Amewafungukia Baadhi ya watu wanaolalamikia kuwa mwanasoka wa Uingereza David Beckham kupost picha Akiwa Tanzania bila ya Kuandika IG kwa watu wake.. Kuwa yupo Tanzania kwenye mbuga ya wanyama ya serengeti..
IMG_20170602_184243_554.JPG IMG_20170602_184308_119.JPG IMG_20170602_184336_226.JPG IMG_20170602_184355_967.JPG IMG_20170602_184419_139.JPG IMG_20170602_184451_556.JPG IMG_20170602_184521_258.JPG
 
Kaongea sense sana farid. Haya mambo waliyaanzisha Clouds. Privacy ndio mpango mzima njaa ya mtu mmoja mwingine toka bara tofauti haimuhusu
 
TANAPA wanataka wapewe 10% ndio watweet kwamba jamaa yuko Bongo as if inamsaidia yy zaidi kuliko utalii, nimeona watu wanamuuloza Beckham kama yuko Africa nikategemea TANAPA watacomment lkn naona kimya
 
Fid Q unajua maana ya 3rd world countries ajisifie yuko Tz for what? nature? No hakuna mtu yeyote atakayejisifia yupo Tz labda kama alitumwa ndiyo atoe taarifa kafika na evidence aonyeshe
Siyo kila kitu uwe msemaji, Utajiri wa mawazo ya kwenye Beat ukiyatumia kwingine unaonekana mbwabwajaji
 
[emoji16][emoji16] tulishaambiwa hatuko creative. pepe gudiola alienda mombasa dunia mzima ilijua jiulizeni wakenya walifanyaje na hakutangaza yeye
 
Sio kazi yake kutangaza mbuga zetu, yeye kaja kutalii tu..itabidi na sie tuwe tunaposti picha na kusema tunachofanya ili kuwa impress wengine? eg..nakunywa coke unaweka picha, nipo club fulani unaweka picha..daaah! hzi ni kazi za matangazo si kila mtu anaweza., tuache kulalamika hovyo.
 
Viongozi wapenda kiki, wananchi pia wanatafuta kiki.
 
Fid Q huyu huyu au !?? Vichambo ka mademu wa insta..
Au hacked!?
 
Endelea kula mchicha".. ipo cku serikalí [HASHTAG]#Fid[/HASHTAG] ni m2 waainagani & anamchango gani ktk jamiiiiiiii. Amante!
 
Back
Top Bottom