Hawa watu sio professional wanaibuka na plann ya kipindi halafu contents anazitafuta leo kipindi kesho kutwa matokeo yake kipindi hakifikishi hata miez 6 kwisha.

lakini hiphop artist wapo wengi sana kiasi kwamba kipindi kinaeza kwnda mwaka mzima bila kurudia msanii. Mi nadhan kuna vitu havikwenda sawa pale chanel 5 na fid q mwnyewe.