field application

field application

Nizzo

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
95
Reaction score
37
heshima yenu wapendwa! Wapendwa nna mdogo wangu anachukua diploma ya enterprise management&accounts,anatafuta sehemu ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field),naomba msaada wa sehemu anaweza omba kufanya hiyo field,yeye yupo arusha.
 
Anasoma DEMA MUCCOBSS Sio? Anataka kufanyia arusha tu au?
 
Arusha au moshi mkuu! She prefer arusha but ikitokea moshi atafanya, ya yupo MUCCOBSS.
 
mpeleke kwenye vituo vya watoto yatima kuna kazi kibao kule za kufanya, au mnunulie Bodaboda abebe watu huko Arusha na Moshi
 
mkuu mbona una dharau hivyo,mwenzio anaomba msaada we unaharisha uharo wako hapa,c lazima uchangie waweza potezea tu! Kilaza mkubwa wew!
 
we mziranda cyo mpango huo cuz mwenzio yupo serious wewe unaleata usenge huo,kma huna comment potezee ok
 
mpeleke kwenye vituo vya watoto yatima kuna kazi kibao kule za kufanya, au mnunulie Bodaboda abebe watu huko Arusha na Moshi

duuuuuuuuuuuuu, nimezimia kabla sijamaliza kusoma hii comment
 
ah haa haa haaa....................yaani kuna watu wanadharau sana maisha ya wenazo,sasa wwe MZIRANDA ndo nni hicho ulichoandika
 
Back
Top Bottom