Msaada wa mawazo me mwanafunzi wa mzumbe mBeya wa BAF nataka niapply field kwenye izi big 4 audit firm hasa EY and Deloitte vp kuna uwezekano kupata na vipi kuna benefits gani kwa mwenye ufahamu. Au nisipoteze muda niapply kwenye mabank nmb , crdb etc kwa sababu huku nimepata tetesi unaweza ukapata ajira kidogo na kuna financial benefits ukiwa field. MAWAZO YAKO YANA MCHANGO MKUBWA KWANGU.