Field Negroes vs House Negroes in the Tanzania Plantation

Field Negroes vs House Negroes in the Tanzania Plantation

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Negro.JPG

GT, baada ya kuirejea sinema ya Malcom X, ametukumbusha hii dhana ya Field Negro na House Negro. Hii ni moja ya dhana ambazo zinaelezea tatizo la Miafrika Ndivyo Ilivyo. Mwaka jana katika Tamasha la Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Wole Soyinka aliitumia kuonesha kuwa Bara la Afrika ni shamba kubwa ambalo lina viongozi ambao ni House Negroes. Sasa swali la kujiuliza ni, je, akina nani ni Field Negroes ambao wanaongoza mapambano ya kuondokana na utumwa ndani ya shamba hili?

Kwa ufupi House Negro ni yule mtumwa/mtumishi wa ndani ya nyumba ambaye anapata upendeleo kutoka kwa Bwana mwenye nyumba hivyo anajiona yeye ni bora zaidi kuliko yule mtumwa anayefanya kazi shambani. Field Negro japo naye ni mtumwa anadhani yeye ni huru zaidi kwa sababu anakula ndani ya nyumba hata kama anakula makombo. Bwana wake akiumwa basi naye anasema tunaumwa: 'Yo master we sick?' Katika historia ya Miafrika hii Mi-House Negroes imerudisha nyuma sana maendeleo ya ukombozi kwa kuwa huwa inafichua siri za harakati za kujikomboa za Field Negroes: 'Master we attacked?' huwa inatoa tahadhari wakati wa 'doing the master's bidding' kama Minyampala!

GT anadai kuwa viongozi wetu wote akiwamo JKN (pichani) ni House Negroes. Mimi sitaki kuamini maana kama hivyo ndivyo hali ilivyo basi we are all doomed for good as in Minigroes ndivyo Tulivyo. May Field Negroes rise to the occassion and stop this House Negroes' foolish and pathetic business of 'Yo Master Investor we bankrupt'? 'Yo Master Donor we attacked'?
 
Yaani Companero huwa nakata tamaa ya mi field negro ku rise na kuwanyamba hao ma house negro. Ila nadhani iko njia. Moja na ya lazima ni ya kupika propaganda ili mi field negro ibuni mbinu mpya na kuzitumia ili kuwatoka hawa ma 'yo master we lose 2010?'
 
Mi-house negro ndio hiyo mijamaa inayowatetea Mafisadi!! Akiwemo GT anayemtetea rafiye aliyetaka kununua YATCH baada ya kupata commission yake!!!
 
Mi-house negro ndio hiyo mijamaa inayowatetea Mafisadi!! Akiwemo GT anayemtetea rafiye aliyetaka kununua YATCH baada ya kupata commission yake!!!

GT hatetei rafiki bali.........
 
Hii kitu inauma sana. Kuna siku nilikuwa naangalia Filamu ya Roots. Sasa kuna Li-House Negro lilichelewa kurudi baada ya kumtoa out Mdada mwenye Roho ya 'Field Negro'. Master lake akaligombeza kama toto dogo. Wacha lipige magoti na kulialia huku likiomba msamaha. Mdada kuona hivyo akachomoa kuolewa na hilo Field Negro. Sasa kilichoniuma ni jinsi lilivyojitetea hasa ukizingatia kuwa lilikuwa linajua Master mwingine alikuwa amemlazimisha huyo mdada kulala naye usiku wa kuamkia siku hiyo japo halikufanya lolote kujaribu kuzuia ubakaji huo wa mwandani lake. Eti likamwambia mdada 'We are all doing the master's bidding', yaani 'wote tunatimiza matakwa ya mabwana' kwa kuwa wote wanatumiwa na hao mabwana wa shamba!

Gosh maybe we are all doing the Master's bidding - both the House and Field Negroes!

x250.jpg
 
Negro.JPG

GT, baada ya kuirejea sinema ya Malcom X, ametukumbusha hii dhana ya Field Negro na House Negro. Hii ni moja ya dhana ambazo zinaelezea tatizo la Miafrika Ndivyo Ilivyo. Mwaka jana katika Tamasha la Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Wole Soyinka aliitumia kuonesha kuwa Bara la Afrika ni shamba kubwa ambalo lina viongozi ambao ni House Negroes. Sasa swali la kujiuliza ni, je, akina nani ni Field Negroes ambao wanaongoza mapambano ya kuondokana na utumwa ndani ya shamba hili?

Kwa ufupi House Negro ni yule mtumwa/mtumishi wa ndani ya nyumba ambaye anapata upendeleo kutoka kwa Bwana mwenye nyumba hivyo anajiona yeye ni bora zaidi kuliko yule mtumwa anayefanya kazi shambani. Field Negro japo naye ni mtumwa anadhani yeye ni huru zaidi kwa sababu anakula ndani ya nyumba hata kama anakula makombo. Bwana wake akiumwa basi naye anasema tunaumwa: 'Yo master we sick?' Katika historia ya Miafrika hii Mi-House Negroes imerudisha nyuma sana maendeleo ya ukombozi kwa kuwa huwa inafichua siri za harakati za kujikomboa za Field Negroes: 'Master we attacked?' huwa inatoa tahadhari wakati wa 'doing the master's bidding' kama Minyampala!

GT anadai kuwa viongozi wetu wote akiwamo JKN (pichani) ni House Negroes. Mimi sitaki kuamini maana kama hivyo ndivyo hali ilivyo basi we are all doomed for good as in Minigroes ndivyo Tulivyo. May Field Negroes rise to the occassion and stop this House Negroes' foolish and pathetic business of 'Yo Master Investor we bankrupt'? 'Yo Master Donor we attacked'?
Kaka mada zako nyingi zina nisisimua sana.Ngoja nitafakari kabla ya kudandia treni kwa mbele
 
The Mentoring/Making of a House Negro?

house+negro.JPG
 
Handfull House Negroes versus Handless Field Negroes
House+Negroes+and+the+Fate+of+a+Field+Negroes%27+Hands.JPG
 
The Mentoring/Making of a House Negro?

house+negro.JPG

Utaita watu kila aina ya majina...kuanzia Uncle Tom hadi House Negro and whatever the heck else...lakini hiyo haitaleta mabadiliko au maendeleo unayoyataka. Jiulize kwanza, hivi ilikuwaje hadi Miafrika ikaanza kuitana majina kama field negro na house negro. Mbona mizungu haina mambo haya....sijawahi kusikia field caucasian/ cracker/ honky au house caucasian/ cracker/ honky. Mara nyingi ni miafrika tu ndio yenye kusimangana yenyewe.
 
Ever heard of the Lords and Commoners? What about Gypsies? Or Aryans? And Barbarians?
 
mi house negro ni kina GT na wenzake

Hebu tumuweke GT kwenye mizani ya malcom x tuone kama anafaa kuwa house negro

"There was two kind of slaves. There was the house negro and the field negro. The house negro, they lived in the house, with master. They
dressed pretty good. They ate good, cause they ate his food, what he left.
They lived in the attic or the basement, but still they lived near their
master, and they loved their master, more than their master loved
himself. They would give their life to save their masters house quicker
than their master would. The house negro, if the master said "we got a
good house here" the house negro say "yeah, we got a good house here".
Whenever the master would said we, he'd say we. That's how you can
tell a house negro. If the master's house caught on fire, the house negro
would fight harder to put the blaze out than the master would. If the
master got sick, the house negro would say "What's the matter, boss, we
sick?" We sick! He identified himself with his master, more than the
master identified with himself. And if you came to the house negro and
said "Let's run away, Let's escape, Let's separate" the house negro would
look at you and say "Man, you crazy. What you mean separate? Where
is there a better house than this? Where can I wear better clothes than
this? Where can I eat better food than this?" There was that house
negro. In those days, he was called a house nigger. And that's what we
call him today, because we still got some house niggers runnin around
here. This modern house negro loves his master. He wants to live near
him. He'll pay three times as much as the house is worth just to live near
his master, and then brag about "I'm the only negro out here. I'm the
only one on my job. I'm the only one in this school." "You're nothing but
a house negro. And if someone come to you right now and say "Let's
separate.", you say the same thing that the house negro said on the
plantation. "What you mean separate? From America? This good white
land? Where you gonna get a better job than you get here? I mean, this
is what you say! "I di-I ain't left nothing in Africa" That's what you say.
"Why, you left your mind in Africa". On that same plantation, there was
the field negro. The field negro, those were the masses. There was
always more negros in the field as there were negros in the house. There
negro in the field caught hell. He ate leftovers. In the house, they ate
high up on the hog. The negro in the field didn't get nothing but what
was left in the insides of the hog. They call them chit'lins nowaday. In
those days, they called them what they were, guts! That's what you
were, a guteater. And some of you are still guteaters. The field negro
was beaten, from morning til night. He lived in a shack, in a hut. He
wore cast-off clothes. He hated his master. I say, he hated his master.
He was intelligent. That house negro loved his master. But that field
negro, remember, they were in the majority, and they hated their
master. When the house caught on fire, he didn't try to put it out, that
field negro prayed for a wind. For a breeze. When the master got sick,
the field negro prayed that he died. If someone come to the field negro
and said "Let's separate, let's run." He didn't say "Where we going?" he
said "Any place is better than here". We got field negros in America
today. I'm a field negro. The masses are the field negros. When they see
this mans house on fire, we don't hear these little negros talkin bout
"Our Government is in trouble. They say thee Government is in trouble."
Imagine a negro, "Our Government". I even heard one say "Our
astronauts." They won't even let him near the plant, and "Our
astronauts". "Our neighbors" That's a negro that's out of his mind. That's
a negro that's out of his mind! Just cause the slave master in that day,
used Tom, to keep the field negroes in check. The same ol slavemaster
today has negros who are nothing but modern Uncle Toms. 20th
century Uncle Toms to keep you and me in check. Keep us under
control. Keep us passive and peaceful. And nonviolent. That's Tom
making you nonviolent. It's like when you go to the dentist and the man
is going to take your tooth. You're going to fight him when he start
pulling. So they squirt some stuff in your jaw called novocane, to make
you think their not doing anything to you. So you sit there and because
you got all that novocane in your jaw, you suffer peacefully. Hahahaha.
There's nothing in our book, the Quran, as you call it, Koran, that
teaches us to suffer peacefully. Our religion teaches us to be intelligent.
Be peaceful. Be courteuos. Obey the law. Respect everyone. But if
someone puts his hand on you, send him to the cemetery! That's a good
religion. In fact, that's that old-time religion. That's the one that ma and
pa used to talk about. An eye for an eye and a tooth for a tooth and a
head for a head and a life for a life. That's a good religion. And doesn't
anybody, no one resist that kind of religion being taught but a wolf who
intends to make you his meal. This is the way it is with the white man in
America. He's a wolf and you're his sheep. Anytime a shepherd, a pastor,
teach you and me not to run from the white man, and at the same time
teach us don't fight the white man, he's a traitor, to you and me. Don't
lay down our life all by itself, no, preserve your life. It's the best thing
you got. And if you got to give it up, let it be Even Steven. .

Du naona kweli ila kuna mmoja anayedai kuwa anajuana na viongozi ndio haswa
 
Back
Top Bottom