Ninavyofahamu mimi ndugu yangu Darling, suala la Field ni la mwanafunzi wenyewe na matarajio yake hasa kwenye chaguzi zake za mahala pa kufanyia field, si maanishi kwamba usimtafutie hapa ila yeye angependa kwenda kufanya wapi field nafikiri ndio ingekaa vizuri sana na kurahisishia waungwana kuweza kutoa msaaada kwa haja hiyo unless awe hajui kabisa pa kwenda kufanyia field na makusudio ni wana JF kupendekeza yeye pa kwenda kufanya field itakayotosheleza matakwa ya Diploma yake na pengine msaada kabisa wa kupata nafasi. Ni Ushari tuu.