kijembeee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 409 Reaction score 105 Feb 10, 2013 #1 helo ndugu zangu, ivi sehemu nzuri ya kufanya field kwa course ya Bussines administration in Marketing Management ni wapi/ na hua wanapokea barua za field lin, samahan kwa wale wa Dar, Arusha, Moshi na Morogoro naombeni mnisaidie kwa hili.
helo ndugu zangu, ivi sehemu nzuri ya kufanya field kwa course ya Bussines administration in Marketing Management ni wapi/ na hua wanapokea barua za field lin, samahan kwa wale wa Dar, Arusha, Moshi na Morogoro naombeni mnisaidie kwa hili.