Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, hivi sasa Clouds media ina utaratibu wa Fiesta takriban nchi nzima, kilichonifurahisha ni kuweza kupata vikundi vya ngoma za asili kila wapitapo.
Najiuliza hawa Clouds wamewezaje kuandaa mpaka vikundi mikoani ilhali wizara ya utamaduni wanamaofisa mikoani lakini hatusikii mpango wowote wa kuendeleza ngoma zetu za asili japo kwa kuandaa tu kama hawa Clouds.
Tatizo ni nini?