Kweli mkuu, inavoonekana utamaduni wetu nao umegeuzwa siasa hasa wakati wa kampeni na upokeaji wageni (Marais) toka nje ya nchi.Aulizwe Nape Nnauye , anapokuwa katibu mwenezi wa ccm anakusanya kila ngoma kwenye kampeni , lakini akiwa waziri hawezi !
Clouds wanatengeneza pesa hapo...lakini kumbuka serikali haiwezi kufanya yote taasisi binafsi kama clouds pia ni wadau wa maendeleo ya nyanja tofauti tofauti kama utamaduni..Wakuu, hivi sasa Clouds media ina utaratibu wa Fiesta takriban nchi nzima, kilichonifurahisha ni kuweza kupata vikundi vya ngoma za asili kila wapitapo.
Najiuliza hawa Clouds wamewezaje kuandaa mpaka vikundi mikoani ilhali wizara ya utamaduni wanamaofisa mikoani lakini hatusikii mpango wowote wa kuendeleza ngoma zetu za asili japo kwa kuandaa tu kama hawa Clouds.
Tatizo ni nini?
Sawa mkuu lakini mantiki ya uundwaji wa wizara hiyo ilikuwa nini?Clouds wanatengeneza pesa hapo...lakini kumbuka serikali haiwezi kufanya yote taasisi binafsi kama clouds pia ni wadau wa maendeleo ya nyanja tofauti tofauti kama utamaduni..