Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Hao ni mashabiki wake dam dam, binafsi ni shabiki yake na inabidi abadilikeHao siyo mashabiki zake bali hao ni team kinywa ndo wanatokwa povu.
Kwani unaweza kuniambia msanii wa live band anakuwaje /anaimbaje???.. au tupia clip hapa ikikuonesha unaimba live band!.. vinginevyo hizo ni porojo!... wabongo tunachukulia vitu kirahisi rahisi sanaaa...