MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jan 16, 2016 #1 Mwaka 2015 hatukubahatika kuona Big Brother Africa haikuwepo hata Fiesta pia sikujua kwa nini.
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,771 Jan 17, 2016 #2 Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti.
T tiktak Member Joined Jan 15, 2016 Posts 10 Reaction score 0 Jan 17, 2016 #3 INNOCENT CHACHA said: Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti. Click to expand... kweli bana tofauti sana huyu jamaa kama shigongo tu
INNOCENT CHACHA said: Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti. Click to expand... kweli bana tofauti sana huyu jamaa kama shigongo tu