Fiesta on Clouds TV

people are enjoying jamani, kama nyie hampendi hamjalazimishwa, ukipendacho sicho nikipendacho, na nikichukiacho ndio burudani yako au? ndio binadamu tulivyo, ndo maana japo manchester yatwaa ubingwa england kuna watu wanalia kwanini westham imeshuka daraja
 
Reactions: Wun
Umeonaaa ingawa walijua mpira wa westham utawapeleka kule
 
Yaani wanamuziki wanatia aibu wanwekaa cd wanaanza kuifwata wengine wanasahau sijui wanashtuka wanakaa kimya kama ni cd si mngekaa makweni jamani nje wanalipia liveee kwelii live msichanganyikiwe na ma mc uchwara..niko nawarusha wakiaribu
 
Lena anakata mauno ila Wanapiga Play back ya hatari.
 
Jamani kwa mnaosikiliza clouds live ni vituko mmaana tumetangaziwa zaidi ya mwezi wanamuziki wanapiga live tunashangaa
wanaweka cd na wengine kushindwa hata kuifwata yaani wanatia aibu kwa kweli mliopo leaders..hivi tumeshindwa kabisa
kuimba live jamani ??kwanini wah wetu waseme njoo uone wanamuziki kadhaa wakiimba laivu msimu wa dhahabu??
Haya wakina lisu dili hilo
 
Kwa nini umeshindwa kununua cd ukafurahi nayo nyumbani ama umeenda kumsaidia kibonde asikosemshahara mwisho wa mwezi yaani watu hata sio wengi kamawalivyofikiria jamani hesabu naona zinakaribia kujutwa na kwa nini wamezigawa zile free tkt...ndio biashara anyway big up ruge
 
ishu sio cd hapa
ishu ni quality
yaani ni very poor quality
halafu ni poor in sound
na very poor kwenye tv yao......aibu saana

wangewaomba mtv base vifaa vya live na tv pia .....
uhuni hadi wanajiharibia....

wasanii wanachoka haraka sababu wanatumia nguvu nyingi kuimba,vifaa viko mono hivi....
 
ndo maaana wanalipwa kiduchu hawana jipya kama natazama video ya uzic tu
 
Yaani unamwona kabisa mwanamuziki anaiacha kuimba mike iko chini muziki unaendelea kwa kukwaruza anyway sisemi niliyajua haya
wanajaribu kuwafanya watu wawaitikie wapi...sasa sisjuihuyo wa marekani kama ataleta usanii tena
 
Et amini alipanda na bodyguard! Kwel umaskini unakufanya uwe mtumwa.
 
Natamani jahazi ingekuwa usiku huu nimsikie kibonde kama bado ajalewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…