Fiesta on Clouds TV

Aisee! Huyu kijana anaitwa Linah, na tabir atakua wema jr. Maana kashampita kimavazi. Kapiga kimini hakijawah kutokea Tz.

nyie kimini na skin tight
hakuwa uchi kabisa
but kanoona
gadner udenda nje

jamani Luda ameshapanda jukwaani?

Duhh, Nimechoka eti mmoja kasema Tanzania kuna amani wakati wabunge wanataka kupigana, na watu tunapigana roba hapahapa kwenye show na JWTZ wanasimamia ulinzi kwenye show hii hii.

Amani maana yake nini?

Bushoke kamtaja JK kwa kutunza Amani, watu wakamb adilishia kibao ! Dah. Kumbe pip6 zmechoka.

nyie kimini na skin tight

hakuwa uchi kabisa

but kanoona

gadner udenda nje

si ndio alichofwatia unafikiri wale watangazaji leo awako kikazi wanatamani tamashas liishe saa tano wawahi vilupo

Akipanda hapo itakuwa balaa alishasema anakuja kudisturb the peace in Dar Eeeeee Salam.

No wonder kuna JWTZ

basi muendelee kutuhabarisha sisi wengine tuliopo huku Yaeda

huyu mlemavu wa mabaga fresh mimi ndo kanikosha kuliko wote

yaaani hili pumbavu kalapina bado wana li entertain?????/
kweli mziki wa bongo ndo maana unadumaaa

yaani unaenda kumuona ludacris,saa nane wanaliweka hili pumbavu kala pina??????

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…