Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
yaani bado hajapanda, hawajamlipa nini?
Mzee Mwanakijiji, mpaka saa hizi uko macho? Nani atafungulia kuku na ng'ombe kesho?
Swali Gumu ulilouliza. We kalale tutakujulisha kesho
Pumzika upate nguvu za kukamua maziwa kesho asubuhi.
bora jamaa aimbe hata wimbo mmoja vinginevyo zitapigwa hapo.. maana sidhani kama watu walikuja kwa ajili ya kuangalia local acts tu..
<br />
<br />
acha ulongo we siuna complementary ya serengeti fiesta 2011...
Luda alipanda?
Luda alipanda saa ngapi??
mmi nililala kabla ya huyo luda mwenyewe kupanda.. alipanda sa ngapi jamani? au hakulipwa
Duh ina maana wabongo hawajui kama alipanda au la?
Nimeona mapicha mahali..alipanda bwana!!!
kwani ukiwa na complmntr lzm uende? We nawe kwa kupenda vya bure!! Bure gharama.
mhh hata sijui mpendwa...mie nimeona mapicha tu kwenye blogkuna waliokuwa wanatupasha habari hiyo jana.....sasa naona na wao wameingia mitini......shosti....unaweza kujua alipanda saa ngapi?