Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Jul 31, 2011 #101 shosti said: mhh hata sijui mpendwa...mie nimeona mapicha tu kwenye blog Click to expand... mmmhh.....nahisi walakini hapa......kwenye jambo hili
shosti said: mhh hata sijui mpendwa...mie nimeona mapicha tu kwenye blog Click to expand... mmmhh.....nahisi walakini hapa......kwenye jambo hili
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Jul 31, 2011 #102 Preta said: mmmhh.....nahisi walakini hapa......kwenye jambo hili Click to expand... hahahahaha kwa nini mpendwa!
Preta said: mmmhh.....nahisi walakini hapa......kwenye jambo hili Click to expand... hahahahaha kwa nini mpendwa!
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Jul 31, 2011 #103 Wun said: kitu ambacho kipo poa ni urushaji wa video wa moja kwa moja wameweza kwa ufananisi mkubwa sana sijategemee kama wangelikuwa na uwezo mkubwa kama huu na wasanii hadi sasa sharobaro kajitahidi na yule demu sijui anaitwa nani.... Click to expand... <br /> <br /> Demu anaitwa Nuru wimbo unaitwa "MUHOGO/ANDAZI... yaani Mwanume,wakati Mwanamke Andazi... hiyo tafsida...
Wun said: kitu ambacho kipo poa ni urushaji wa video wa moja kwa moja wameweza kwa ufananisi mkubwa sana sijategemee kama wangelikuwa na uwezo mkubwa kama huu na wasanii hadi sasa sharobaro kajitahidi na yule demu sijui anaitwa nani.... Click to expand... <br /> <br /> Demu anaitwa Nuru wimbo unaitwa "MUHOGO/ANDAZI... yaani Mwanume,wakati Mwanamke Andazi... hiyo tafsida...