FIESTA part 2 bure baada ya kuharibu jana

FIESTA part 2 bure baada ya kuharibu jana

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880
Leo wanaendelea kuperform wale ambao hawakufanikiwa jana. Mh! Ila jua kali,ndio maana wanafanya free. Wanaanza saa tisa jioni.
 
Hivi huyo mtuu wa kumsimamisha saa tisa ni nanii mnatuona wajinga kiivyoo, mliniaribia tym yang najilaum, eatv hebu fanyen kwel bhanaaa nasubir kwa kiu kubwa ya burdani
 
Nadhani walioenda jana ni wauza maji,sigara na karanga wale wa mtaani.
 
Hivi huyo mtuu wa kumsimamisha saa tisa ni nanii mnatuona wajinga kiivyoo, mliniaribia tym yang najilaum, eatv hebu fanyen kwel bhanaaa nasubir kwa kiu kubwa ya burdani

Pole yako bhana! Tulishatabiri vingi ndio maana hatukushoboka na hizo mboyoyo zao aisee.
 
Daaaah yahaya kala pesa yangu, kwel hii ndio life ya yahaya, ila poa mm nimeamia kw akina personality coming soon
 
daa ni wazi clouds kuna kitengo hakiko sawa. kurudia show hakuwezi kufuta makosa.
 
Back
Top Bottom