Fiesta watu wachache= Hasara

Mara watu ni wachache.,mara wengi wengi waliopo ni watoto wa sekondari,mbona hueleweki mkuu,kwani hao madogo waliingia bure?.,mkuu hasira zako za kunyimwa tenda ya kuuza chips kwenye fiesta usizimalizie hapa.
 
ha ha ha. Roseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…