sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Wakuu. Taarifa za uhakika kutoka Jikoni.
Wakati Cloudsfm wakiendelea na msimu wa fiesta twen zetu mikoani kigoma, na tabora taarifa za kuaminika ni kwamba Jide Jay Dee amepata udhamini kutoka east africa redio, airtel na makampuni mengine matatu likiwemo moja la bia ili kufanya tamasha lake.
Taarifa zinadai hilo tamasha litapigwa same day na tamasha la fiiesta. Watakaohudhuria kwa jidejaydee ni pamoja na vinega, juma kassimu nature, jay moe, prof jay, grace matata, feza kessy atapiga na machozi, dani msimamo, roma mkatoliki, belle 9, na rama dee.
Hizi tetesi nimezipata kutoka kwa mdau wa east africa redio aambao nasikia pia watawaleta wale aligo..
Mwenye taarifa zaidi atupe. Mia