Fiesta ya cloudsfm jijini Dar. Show ya Jidejaydee na vinega chini ya EA redio siku moja.

kama watakuwepo VINEGA itakuwa soo,jamaa wanajua...kibongobongo hakuna show iliyowahi tokea kama ya pale viwanja vya Ustawi Chini ya VINEGA, Mzimu SUGU ulikuwepo.....ilikuwa ni balaaaa
 
Aaah! Haya mambo ya kutibuliana madili ni uchawi aaagrii.. Clouds nao wana waleta Chris Brown na Rihana tuone kama vinega na Jide wao kama watakusanya nyomi ya people
 
Hii ni habari nzuri. Mia
 
kitendo cha kumuweka nature tu ndo kaua kabisaaa apo rungwe asubir tu mamaaa prof ndan aaah wamekaa rungwe anateka maji na chujio!!
 
Ingekuwa kinyume na hivyo inavyodaiwa mngesema Clouds ni wabaya kwa sababu wanataka kumharibia biashara huyo kibibi.

Lakini kwa vile sivyo mnashangilia. Mko wajinga sana nyinyi.

we mmakonde wa namtumbo vp mbn unatia gundu apa??!!
 
Ingekuwa kinyume na hivyo inavyodaiwa mngesema Clouds ni wabaya kwa sababu wanataka kumharibia biashara huyo kibibi.

Lakini kwa vile sivyo mnashangilia. Mko wajinga sana nyinyi.
Nyani ngabu bwana yaani naanza kukupendapenda ivi unanipa mzuuuuuuuuka sana na coment zako..umeona eeh?Dizaini kuna watu huwa hawajielewi elemi ivi kama .kama vipi Tupogo kwa sana tu!
 
Aaah! Haya mambo ya kutibuliana madili ni uchawi aaagrii.. Clouds nao wana waleta Chris Brown na Rihana tuone kama vinega na Jide wao kama watakusanya nyomi ya people
Aaaaaaaah yaani Noumer sana! chezea Ruge wewe utapata kengeza!
 
shostito hata wewe mwaya...unaniaibisha bwaba Clouds ndo mpango mzzima si unaona hazitajwitajwi radio zingine...hizo ndo zilizo makaburini!.....yaani NOUMER SANAAAA!
 
cheki fiesta Tabora jana, huyo bibi na hao vinegu wanaweza kuujaza uwanja huu wa Ali hassani mwinyi au wanataka kufanya showzap kwenye parking ya gari?

wewe ni boya kama vinega hawamuwezi bosi wako ruge mbona aliomba poo naakaomba suluhu? usiwe chizi wewe hii vita ipo wazi kuwa vinega mpango wa mungu na cloudz ni mpango wa lucifa so staytune
 
cheki fiesta Tabora jana, huyo bibi na hao vinegu wanaweza kuujaza uwanja huu wa Ali hassani mwinyi au wanataka kufanya showzap kwenye parking ya gari?

Waache waote ndoto a mchana! wala usipoteze nguvu zako ngoja wajifarij na bibi kiroboto!
 
wewe ni boya kama vinega hawamuwezi bosi wako ruge mbona aliomba poo naakaomba suluhu? usiwe chizi wewe hii vita ipo wazi kuwa vinega mpango wa mungu na cloudz ni mpango wa lucifa so staytune
sio mzima wewe ni wakupimwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…