FIFA Arab cup final, Algeria winner

FIFA Arab cup final, Algeria winner

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
Timu ya taifa ya Algeria wameshinda goli 2 kwa 0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa fainali uliyopigwa leo mazehe.

Wafungaji ni,
Sayoud 99
Brahimi 120+5

images (11).jpeg

Wenye mpira wao bwana,,,hawatumii nguvu wala uganga ili wawin,,,ni akili tuu ina2mika hapo,,,Hongera zao magiant.
 
Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.

Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Top ten ya nchi zinazojua mpira duniani kuna takbiir ngapi?
Hizo Northern Africa ni uchumi unazifanya ziwe zaidi ya kina sisi, ukienda Saudi Arabia pale na wenzake Kuwait mpira wanatumia hela nyingi ila hawajui kwa viwango vya dunia ila ukiwaleta Afrika wanajua
 
Sio kila ukweli unapaswa kusemwa hadharani.

Mambo au takwimu nyingne wapaswa kuachana nazo hata ni kweli, kwasabu zinamwelekeo wa kugawa watu ndani ya taifa lilelile...

Mathalani iko wazi jamii za kiislam zime-dominate sana tasnia za sanaa, mziki na michezo hapa tanzania..

Hili linajulikana lakn halifai litiliwe maanani kwasab takwimu zake zitachochea migawanyiko kuliko kuunganisha watu.
 
Kwahiyo kama ni ukweli tusiseme?
 
Royal fact
 
Football has no religion.

Dini wanaijua? How? Kisa ni waarabu?Jidanganye.
Mimi mtu akianza kuleta mambo ya dini kwenye issue za kawaida huwa namdharau halafu sitaki Tena story naye.Lazima tutofautishe context.Sasa mpira na mambo ya dini wapina wapi?
 
Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.

Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Kwanini Africa tu? Brazil,Argentina,France ,Germany ,Belgium unajua idadi ya watu ni wa dini ipi? Mbona hao unaowashadadia hawajawahi fika hata nusu fainali ya kombe la dunia?
 
Back
Top Bottom