Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Halafu majority of them are Muslims!
Dini wanaijua, mpira wanaujua.
Kwanini lazima iwe uislamu kwani mtu hawezi kucheza tu lazima dini itumike?Halafu majority of them are Muslims!
Dini wanaijua, mpira wanaujua.
Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.Kwanini lazima iwe uislamu kwani mtu hawezi kucheza tu lazima dini itumike?
Unapotea mkuu tena unazidi kuchanja mbuga kwenda nje ya barabara.Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Top ten ya nchi zinazojua mpira duniani kuna takbiir ngapi?Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Ni ukweli mkuu ....em orodheshaUnapotea mkuu tena unazidi kuchanja mbuga kwenda nje ya barabara.
Akili yako unaifahamu mwenyeweNchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Mpira haramu shekheNchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Kwahiyo kama ni ukweli tusiseme?Sio kila ukweli unapaswa kusemwa hadharani.
Mambo au takwimu nyingne wapaswa kuachana nazo hata ni kweli, kwasabu zinamwelekeo wa kugawa watu ndani ya taifa lilelile...
Mathalani iko wazi jamii za kiislam zime-dominate sana tasnia za sanaa, mziki na michezo hapa tanzania..
Hili linajulikana lakn halifai litiliwe maanani kwasab takwimu zake zitachochea migawanyiko kuliko kuunganisha watu.
Mimi Muislamu ila jamaa ameyumba sana sasa kujua kwao mpira ina leta tija gani kwenye dini ? mambo mengine sio ya kujisifia kabisa .Unapotea mkuu tena unazidi kuchanja mbuga kwenda nje ya barabara.
Senegal wao vipi?Ni ukweli mkuu ....em orodhesha
Algeria
Senegal
Tunisia
Morocco
Egypt
Nigeria 50/50
Ghana
Ivory coast 50/50
Cameron
Royal factSio kila ukweli unapaswa kusemwa hadharani.
Mambo au takwimu nyingne wapaswa kuachana nazo hata ni kweli, kwasabu zinamwelekeo wa kugawa watu ndani ya taifa lilelile...
Mathalani iko wazi jamii za kiislam zime-dominate sana tasnia za sanaa, mziki na michezo hapa tanzania..
Hili linajulikana lakn halifai litiliwe maanani kwasab takwimu zake zitachochea migawanyiko kuliko kuunganisha watu.
Acha kufikiria kiislam na huko Ulaya na Amerika ni waislamu ?Mpira hauna dini jombaa.Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Mimi mtu akianza kuleta mambo ya dini kwenye issue za kawaida huwa namdharau halafu sitaki Tena story naye.Lazima tutofautishe context.Sasa mpira na mambo ya dini wapina wapi?Football has no religion.
Dini wanaijua? How? Kisa ni waarabu?Jidanganye.
Kwanini Africa tu? Brazil,Argentina,France ,Germany ,Belgium unajua idadi ya watu ni wa dini ipi? Mbona hao unaowashadadia hawajawahi fika hata nusu fainali ya kombe la dunia?Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.
Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.