FIFA best award: Argentina yakomba tuzo lukuki. Messi mchezaji bora

Kwaio Golikipa (Emil Martinez) bora hayupo kwenye kikosi bora (Cortois)
 
Wazungu nao wababaishaji sana.
 
Tunzo ya mchongo, Hakuna anaestahiki tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2022 zaidi ya Karim Benzema.
 
Kwahiyo africa wanacheza netball? Hata kama iwe vyovyote walipaswa kuweka mchezaji kutoka Africa angalau mmoja

Wazungu ni wabaguzi sana
 
Kikosi cha mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…