Wow!! Liver owner π€π€Upo??
Nimekumisimo
Tatizo hatukumuona kule Qatar..Tunzo ya mchongo, Hakuna anaestahiki tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2022 zaidi ya Karim Benzema.
Wow!! Liver owner [emoji847][emoji847]
Nipo mamaa vipi za siku nyingi?
Nakuja nakujaSafi,nani kakufungiamo??
Uje nyumbani tuongee sasa
Kwani HAKIMi SI mwafrika Toka Morocco huyu na anaichezea PSG au ulitaka afrika atoke UGANDAKwahiyo africa wanacheza netball? Hata kama iwe vyovyote walipaswa kuweka mchezaji kutoka Africa angalau mmoja
Wazungu ni wabaguzi sana
Nilitaka mwafrika anayechezea afrikaKwani HAKIMi SI mwafrika Toka Morocco huyu na anaichezea PSG au ulitaka afrika atoke UGANDA
Mbona fifa best 11 wa argentina kawekwa Messi tu
Ndio shangaa sasa π goalkeeper bora Martinez hayumo, yani hapo ilipaswa sio chini ya wachezaji 6 wa Argentina ndani ya squad
Labda fifa wanajua siri ya ushindi wa Argentina ni wa kubebwa bebwa