FIFA Club World Cup

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani Fifa Linaendelea Nchini Japan,Huku Afrika ikiwakilishwa na Mabingwa wa Afrika MAMELODI SUNDOWNS kutoka Afrika Kusini.
Wawakilishi Hawa wa Afrika Jana wameanza Vibaya michuano hii baada ya Kufungwa Goli 2-0 na Club Ya Nchi Mwenyeji Kashima Antlers.
Tutazidi Kujuzana Matokeo Zaidi.

Tukumbuke Bingwa Mtetezi ni Barcelona.
 
Barcelona anateteaje wakati hayuko kwenye michuano hiyo? Sema anayeshikilia kombe hilo,na Subiri baba yake Real Madrid anachuka.CR7 hoyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…