FIFA Confederations Cup 2009

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
8,635
Reaction score
2,205
AMatchDate - TimeVenueResults114/06 16:00Johannesburg
South Africa0:0Iraq
214/06 20:30Rustenburg
New ZealandPreviewSpain
517/06 16:00Mangaung/Bloemfontein
Spain-Iraq
617/06 20:30Rustenburg
South Africa-New Zealand
920/06 20:30Johannesburg
Iraq-New Zealand
1020/06 20:30Mangaung/Bloemfontein
Spain-South Africa
Group BMatchDate - TimeVenueResults315/06 16:00Mangaung/Bloemfontein
BrazilPreviewEgypt
415/06 20:30Tshwane/Pretoria
USAPreviewItaly
718/06 16:00Tshwane/Pretoria
USA-Brazil
818/06 20:30Johannesburg
Egypt-Italy
1121/06 20:30Tshwane/Pretoria
Italy-Brazil
1221/06 20:30Rustenburg
Egypt-USA


nimeona sio mbaya kukumbushana kwani kwa wana soka kipindi hiki ligi zote zimesimama mechi zinaweza kutusaidia .
 
Last edited:
Naona Bafana wamechemsha! Na TBC nao wamechemsha matangazo dakika za mwisho.
 
Naona Bafana wamechemsha.

Mkuu, Bafana bafana bahati haikuwa yao tu, wamejitahidi sana tu. Nadhani hata pengo la experienced players nalo limechangia.

TBC imekuaje?
 
mie namlaumu kocha wa south africakwa kumueka bench steve pienaar na sijui kwanini kaja kumuingiza dakika 6 za mwisho.na kama ana fatigue si angempa hata dakika 30 za mwisho? hile ndio chance waliokuwa nayo na game ya new zealand.
 
mie namlaumu kocha wa south africakwa kumueka bench steve pienaar na sijui kwanini kaja kumuingiza dakika 6 za mwisho.na kama ana fatigue si angempa hata dakika 30 za mwisho? hile ndio chance waliokuwa nayo na game ya new zealand.

Tusiwe wepesi wa kulaumu walimu, Pienaar ni mgonjwa alipata tatizo la ankle siku moja/mbili kabla ya mchezo.
 
Naona Brazil anamchezeshea kichapo Egypt dakika ya 52 Brazil 3-1 Egypt. Kaka amefunga goli la kwanza.
 
Naomba fainali wakutane Brazil na Spain tuone soka ya burudani
 
Duh! Egypt wamerudisha goli mbili within 2 minutes 3-3.
 
Waarabu wamerudisha 3-3 dakika ya 75 Brazil wakikaaa vibaya wanapigwa bao
 
Brazil wanapata penati dakika ya 90
 
KAKA nafunga penati dakika ya 90 na beki wa Misri anapewa kadi nyekundu
 
Mechi imeisha Brazil kashinda 4-3
 
Not bad, lakini Egypt wamecheza mchgezo mzuri sana poamoja na kufungwa. Brazil wajkiangalie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…