Fifa ni taasisi huru

Fifa ni taasisi huru

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Ndugu wanajf tujiulizeni maswali kuwa taasisi ya FIFA ni chombo huru? au inafanya mambo yake chini ya taasisi zingine maana sielewi kabisa juu ya ufanyaji kazi wao , haaa linapokuja swala la utoaji tuzo za uchezaji bora ni kama hawatumii common sense (wanaziba maskio) wanaacha watu bora wanakuja na mess na Ronaldo kila siku je nan anayewapangia?
 
Unaweza kuandaa tuzo zako na wewe ukawapa hao unaotaka wapewe.
 
Siasa ndio kila kitu mkuu. Fifa na UEFA zinaendeshwa kisiasa na maslahi ya kifedha.

Messi na Ronaldo ni wachezaji amabao wanaogoza kuwa na fanbase ya mashabiki wengi sana kwenye dunia. kwaiyo FIFA na UEFA wananufaika sana kwa kupitia wao.
pakishakua na Messi na Ronaldo kwenye uwanio wa tunzo Patavutia mashbiki wingi juu ya hizo tunzo. Mashabiki wengi watazaaa wadhamini wengi na wenye fedha ndefu. Mambo ndivo yanavokwenda hivo mkuu.
Messi ndio nembo ya Adidas na ROnaldo ndio nembo ya Nike. Na unafahamu nguvu walizonazo Adidas na Nike kwenye mchezo wa Football? wao ndio wadhamini wakuu kabisa.
 
Back
Top Bottom