Fifa pro XI 2020

Fifa pro XI 2020

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
1. Alisson
2. Anold Trente
3. Alfonso Davies
4. Sergio Ramos
5. Van dike
6. Thiago alcantara
7. Joshua Kimich
8. De bruyne
9. Robert Lewandowsik
10. Messi
11. Ronaldo

•Best men fifa player of the year: Robert Lewandowsik.
•For women: Bronze from man city
•Kocha Bora wa kiume: Jurgen Klopp
•Goli bora: Son Hing Min (Burnley vs tot)
Kwa mtazamo wakoJe , nani atoke nani aingie,au kiko sawa tu.

#jr
 
Kloop? Hans Flik ameshinda makombe matatu mwaka jana German League, DFB poka, UEFA
FIFA nao Kama ttf tu
 
Kloop? Hans Flik ameshinda makombe matatu mwaka jana German League, DFB poka, UEFA
FIFA nao Kama ttf tu
Yani klopp mwenyewe hajaamini.Eti flick wamemnyima sababu aluchukua timu katikati ya msimu.. Sema wamemdhulum tu
 
Yani klopp mwenyewe hajaamini.Eti flick wamemnyima sababu aluchukua timu katikati ya msimu.. Sema wamemdhulum tu
Hizo tuzo ni magumashi sana Kuna dada anaitwa Megan rapinoe hajacheza mechi hata moja 2020 ila yupo kwenye FIFpro 11 ya wanawake
 
Hivi Messi na Ronaldo bado wanaingia kwenye 11 bora? kwa misingi ipi?
 
Back
Top Bottom