Ttf ndio kitu gani mkuu?Kloop? Hans Flik ameshinda makombe matatu mwaka jana German League, DFB poka, UEFA
FIFA nao Kama ttf tu
Hizo tuzo ni magumashi sana Kuna dada anaitwa Megan rapinoe hajacheza mechi hata moja 2020 ila yupo kwenye FIFpro 11 ya wanawakeYani klopp mwenyewe hajaamini.Eti flick wamemnyima sababu aluchukua timu katikati ya msimu.. Sema wamemdhulum tu