FIFA RANKS: Tanzania yapanda hadi nafasi ya 114 duniani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA JUNE 20, 2024

AFRIKA DUNIANI
[emoji116] [emoji116]
1 [emoji1173] Morocco (12)
2 [emoji1211] Sénégal (18)
3 [emoji1093] Egypt (36)
4 [emoji1081] Ivory Coast (37)
5 [emoji1184] Nigeria (38)
6 [emoji1249] Tunisia (41)
7 [emoji1026] Algeria (44)
8 [emoji1062] Cameroon (49)
9 [emoji1159] Mali (44)
10 [emoji1221] South Africa (59)
[emoji116]
21 [emoji1254] Uganda (94)
25 [emoji1139] Kenya (108)
28 [emoji1241] Tanzania (114)

Kwa mafanikio haya credit ziende Kwa wafuatao Kwa jitihada zao

1 Rais Samia suluhu
Kwenye hiki kipindi chake tumeshuhudia motivation heavyweight kwenye soka+ ujenzi wa viwanja

3. Young Africans
Kama tulivyoona ...Yanga ni roho ya taifa stars....8/11 ya wachezaji wa taifa stars wametoka pale Yanga ....pia yanga kufika final ya CAF champion....kume inspire taifa stars
3. Labani og
Uchambuzi wako murua ndio umeifikisha hapa taifa stars
 
Jinga
 
Yaani Tanzania iko chini ya Kenya na Uganda wakati Tanzania hiyo ndiyo inayoongoza kwenye ukanda wa CACAFA? Hizi ranking zina walakin
 
Aisee Kenya tupo nyuma Sana.Ababu Namwamba lazima aongeze juhudi Vinginevyo Tz itatupiku
 
Yaani Tanzania imepitwa mpaka na Kenya iliyokuwa imefungiwa na FIFA kwa miaka kadhaa!! Ujinga mtupu.
 
Yaani pamoja n kenya kufungiwa hiyo miaka bado kaenye ranking yupo juu yetu 😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…