FIFA wachunguze match fixing baina ya Yanga dhidi ya timu zinazodhaminiwa na GSM

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Nadhani ni wakati sasa vyombo vinavyosimamia soka nchini kuomba msaada kutoka FIFA ili mechi za hii timu zichunguzwe.

Tunatamani soka lichezwe kwa kufauata sheria na kanuni za soka.Haitakuwa sawa timu moja kupanga matokeo na baadhi ya timu na au janja janja za kuinunua timu inayoonesha upinzani wa kweli ili iwe mikononi mwenu.

TFF isimamie sheria na kanuni kwani hizi busara za kuwabeba hawa jamaa,zinawatokea TFF puani kwa sasa
 
Ungejua struggle za kujiendesha katika ligi wala usingeongea hayo, umeona mf. Ruvu shooting japo hawapo ligi mkuu mkuu? Tumewafunga mara ya ngapi hadi sasa? Hayo matokeo tunapanga uko na uhakika gani?
 
Moja kati ya weakness KUBWA za Walace Karia ni kushindwa kutatua makosa ya marefa na kujaza watu Tff kwa upendeleo urafiki huba nk...
Mengine hana shida kabisa.

Suala la sponsorship kwa timu za ligi kuu anatakiwa apongezwe kabisa.
 
Ilikuwa siku ya manyumbu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…