FIFA wamelonga..

Magehema

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
428
Reaction score
28
Kwa mara ya kwanza FIFA wametoa kauli kupinga RAFU za kijinga zinazotishia career za wachezaji wa mpira wa miguu. Kuna baadhi ya mameneja wa timu kubwa wamekuwa wakilalamikia RAFU zisizokuwa na kichwa wala miguu wakabezwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…