Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Huku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema.
Penalty waliyopewa Ghana dhidi ya South Africa ni mambo ya hovyo yanayo dumaza mpira wetu wa Africa.
Kwamba Ureno hataenda Qatar? si anaingia kwenye playoff
Azzuri wameshindwa kufuzu aisee, sijui walibahatisha kwenye Euro. Wanaangukia kwenye mechi za play of
Jana mechi anatakiwa ashinde ili afuzu, katoa sareAzurri wako vizuri mno,,, ukimwekea timu za amerika ya kusini atawapiga wote isipokuwa Argentina hamuwezi.
Timu 12 zitacheza play offMreno atacheza play off na mshindi wa pili, haijurikani nani atakutananae.