FIFA yabadili tarehe ya Kombe Dunia 2022

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Shirikisho la soka Duniani, FIFA limethibitisha rasmi mabadiliko ya muda wa kuchezwa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2022 litakalofanyika nchini Katar.

Mabadiliko hayo ni kuhamisha tarehe ya kuchezwa kwa mashindano hayo kutoka Juni-Julai na badala yake litachezwa mwezi Novemba - Desemba mwaka huo.

Hatua hiyo ya FIFA imekuwa baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Ulaya kushinikiza mabadiliko hayo ili kupisha kipindi cha joto kali cha mwezi Juni huko Katar.

=============
=============

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…