FIFA yachagua waamuzi 8 kutoka afrika kuchezesha world cup Qatar

Sababu za waamuzi wa Tanzania kutopewa nafasi hii ya kuchezesha fainali za WORLD CUP ndo sababu hizoz hizo zilimfanya Leodgar Tenga kukosa uwakilishi wa FIFA kanda ya Africa licha ya kupigiwa sana debe na Head of State wa wakati huo Mheshimiwa JK na alimsindikiza hadi mjengoni huko ZURICH nafasi hiyo ilichukuliwa na mtu wa Ghana. Pia Tenga huyohuyo alikosa nafasi ya uwakilishi waCAF kanda ya afrika Mashariki na nafasi yake akachukuliwa na mtu wa UGANDA.

Kifupi tatizo ni Lugha, nafasi hizo zinahitaji uweze kutema mayayi kweli kweli, siyo mayayi ya kubahatisha ya THE,THE,THE, ndo kwanza sisi tunashadadia lugha yetu kiswahili, sawa ni Lugha yetu basi pata huku ukose kule.
 
Pamoja na tessemma wapo vizur sana
 
sikazwe amerudi tena ...huyu si alimaliza mpira kabla muda kule Cameroun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…