Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa mtindo wa sasa nchi moja kuandaa mashindano yote itakua hamna...Kibiashara ni bonge la mchongo ebu vuta picha nchi64 zikae kwenye taifa lako miez miwili,apo taifa mwenyej litavuna pesa za viza,hotel,usafir,utalii nk na hata wao FIFA watavuna manoti zaid ya mwaka huu
Kuna timu zitakula bao 12Hizi zitakua fujo sasa team 64
Ni league ya msimu mzima Niniπ
Ila naona nchi 64, fresh tuu, tutaenjoy sana sababu WC linamvuto wa aina yake vile linakutanisha dunia nzima pamojaKwa mtindo wa sasa nchi moja kuandaa mashindano yote itakua hamna...
2030 ni nchi 6 zinaandaa.....
Madhara yatakua mengi mkuu assume unaalika mashabiki kutoka nchi 64 af zinakuja kwako lazime kuna emergency of violentIla naona nchi 64, fresh tuu, tutaenjoy sana sababu WC linamvuto wa aina yake vile linakutanisha dunia nzima pamoja
Bila kuacha imani za kishirikina kwenye soccer, Taifa Stars haitakaa ifuzu kushiriki mashindano ya World Cup!Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje?
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na kamati husika baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia la 2026, akisisitiza kuwa mashindano hayo yanapaswa kutoa fursa kwa mataifa mengi zaidi kushiriki.
Infantino amesema kuongeza idadi ya timu kutazipa nchi ndogo motisha ya kuendelea kuimarisha soka lao, huku akieleza kuwa mfumo wa timu 48 uliotumika mwaka 2026 umeonyesha mafanikio makubwa. Kombe la Dunia la 2030 linatarajiwa kufanyika katika nchi sita za mabara matatu, zikiwemo Morocco, Hispania, Ureno, Uruguay, Argentina na Paraguay.
Hata hivyo, pendekezo hilo limeibua mjadala, huku Rais wa UEFA, Aleksander Δeferin, na Rais wa CONCACAF, Victor Montagliani, wakilipinga wakisema linaweza kudhoofisha ushindani wa mashindano na kupunguza umuhimu wa michuano ya kufuzu.
Kwa upande mwingine, viongozi wa soka wa Amerika Kusini, akiwemo Rais wa CONMEBOL Alejandro DomΓnguez, wanaunga mkono wazo hilo wakiamini litatoa nafasi kwa mataifa mengi zaidi kushiriki kwenye fainali za Kombe la Dunia.
Itakua ndondo. Hizo 48 au 32 ni nyingi. Zilitakiwa ziwe 16 tu na ni mtoani kwenda mbele hakuna makundi.Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje?
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na kamati husika baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia la 2026, akisisitiza kuwa mashindano hayo yanapaswa kutoa fursa kwa mataifa mengi zaidi kushiriki.
Infantino amesema kuongeza idadi ya timu kutazipa nchi ndogo motisha ya kuendelea kuimarisha soka lao, huku akieleza kuwa mfumo wa timu 48 uliotumika mwaka 2026 umeonyesha mafanikio makubwa. Kombe la Dunia la 2030 linatarajiwa kufanyika katika nchi sita za mabara matatu, zikiwemo Morocco, Hispania, Ureno, Uruguay, Argentina na Paraguay.
Hata hivyo, pendekezo hilo limeibua mjadala, huku Rais wa UEFA, Aleksander Δeferin, na Rais wa CONCACAF, Victor Montagliani, wakilipinga wakisema linaweza kudhoofisha ushindani wa mashindano na kupunguza umuhimu wa michuano ya kufuzu.
Kwa upande mwingine, viongozi wa soka wa Amerika Kusini, akiwemo Rais wa CONMEBOL Alejandro DomΓnguez, wanaunga mkono wazo hilo wakiamini litatoa nafasi kwa mataifa mengi zaidi kushiriki kwenye fainali za Kombe la Dunia.
Kipato sasa mkuu,,Itakua ndondo. Hizo 48 au 32 ni nyingi. Zilitakiwa ziwe 16 tu na ni mtoani kwenda mbele hakuna makundi.
Amesema Nchi 6 zitahusika kuandaa it means watu watagawanyika sio wote watakao weza kwenda kwenye Taifa Moja tu , wengine watakwenda kwenye Taifa hili na wengine Taifa lingine,Madhara yatakua mengi mkuu assume unaalika mashabiki kutoka nchi 64 af zinakuja kwako lazime kuna emergency of violent
Bila shaka πWamesha nogewa na mshilko mkubwa walioupata msimu huu,,
Lets go,,,,πππ
Kabisa, litakua la kawaida sana, Mimi ntaanza kuangalia kuanzia robo fainali baada ya UCHAFU wote kutokaHatimaye tanzania tumekumbukwa lakini halitakuwa na mvuto