FIFA yafikiria uwezekano wa Kombe la Dunia kushirikisha timu 64 ifikapo 2030

Walifanye liwe ligi kabisa. Msimu mzima utengwe, kuwe hakuna kushindana kushiriki ni kila taifa linapeleka timu.
 
Hii nzuri na Tanzania tukashiriki.

Timu 64 maana yake, timu mbili zinatoka kila kundi kwenda round of 32, then round of 16 nakuendelea.
 
Ishu sio kwenda,wala kucheza, ishu.. Tanzania tukicheza mashabiki wakujaza tutatoa wap?😂
 
Caferin angekubali ningeshangaa jamaa ni mbishi na hamkubali kabisa infatino
Sio wazo kimsingi ilikuwa team 32 kutokana na muamko mdogo wa mchezo na miundombinu midogo kwenye nchi mwandaaji na pia ilikuwa kuepuka kuipa mwenyeji mzigo mkubwa sana
Sasa kupitia njia ya ushirikiano nadhani itakuwa nzuri
 
Litakuwa ni bonanza si kombe la dunia tena wakuu! Huyu ifantino anaharibu sana football.
 
Mimi kuhualisia ukiniambia komne la dunianalafu washiriki wenyewe sijui wapo 36 huwa naona haipo fair ilitakiwa nchi zote zipate fulsa ya kushiriki hata kama zipo 150 wapanhè utaratibu mzuri angalau kila nchi iende huko hilo ndio litakuwa kombe na litakuwa na mvuto wake..
 
Mbappe&Haaland watafikisha goli 100 kwenye WC mpaka wanastaafu soka la kimataifa.

Vitimu uchwara vitakuwa vingi mno.
 
Binafsi sikubaliani na hoja ya kuongeza timu kutoka 48 hadi 64 kwa sababu kwanza itapunguza upekee na thamani ya mashindano pili itapelekea quality ya games kupungua sana
 
Haya haya yaloshiriki kombe hili nchi 48 zimetosha sana tu. Kuongeza timu nyingine 16 ni kuchoshana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…