FIFA yaifungia Congo Brazzaville Uanachama kwa muda usiojulikana kufuatia machafuko ya Kisiasa yanayoendelea nchini humo

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo.

Kwa maana hiyo Congo DR timu yao ya Taifa, Vilabu vyao na Viongozi wao hawataruhusiwa kushiriki michezo yoyote ya Kimataifa (CHAN, AFCON, CAFCL, CAFCC, Kombe la Dunia) hadi adhabu hiyo itakapoondolewa.

 
Uonevu tu..soka halijaua raia yeyote tokea machafuko yaanze..wangefungia silaha zote ningejua hawafikiri kwa kutumia utumbo mwembamba!
 
Iliyofungiwa ni Congo Brazzaville na siyo kwa sababu ya machafuko
 
Mbona
Ukraine hawajafungiwa?
 
Naona kama FIFA imekurupuka. Congo imefanya nini wakati yenyewe ndio inashambuliwa na waasi? Ilitakiwa hiyo ban Rwanda ipigwe kwa kusaidia waasi wa M23 mashariki mwa DRC
 
Ubongo wako unaload taratibu sana
Wewe ni "much know".

Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.

TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…