balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kabisa mkuu,serikali kwanini iingilie mambo ya soka? Kuna pesa ya serikali iliyoliwa? Timu za taifa serikali ilichangia kiasi gani? Mbona viwanja vyote wameikabidhi CCM na pesa wanachukua lkn viwanja viko hovyo? Hapa kuna chuki na ukabila dhidi ya Viongozi wa TFF.Ngoja FIFA iwapige pini akina Kolomije na Machatochato.waje tu hapa kuna something wrong
Soma katiba ya Tanzania ibara ya (13)(6).Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
TFF ni mali ya FIFA yaani kuja hakuepukiki,hata uchaguz ulopita walikuja kama unakumbuka mwenyekiti wa kamati alikuwa MtinginjoleWaje kufanya nini wakati wezi tayari wapo Lupango? FIFA wakae mbali kabisa wasije kuleta balaa
Akiza kinywaji naja lipaMalinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
Mtu lazima atuhumiwe kuwa ni mwizi kabla ya kumpeleka mahakamani kwa hiyo ni sawa tu kumwita mwizi.Ukimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Wanakuja kuzuia uchaguzi ili Mtu wao Malinzi atoke mahabusu ashinde kwa bao la mkonoFifda inaleta timu kuja kuchunguza sakata la malinizi na wenzake..wakati hayo yakiendeelea kaimu mwenyekiti wa tff karia amesema kunan siitonfahamu iliopo n vyema tukashirikisha na wenzetu fifa wameliona hilo..
Ni vizuri tufanye uchaguzi ambao kila mtu ana imani nao na maisha lazima yaendelee wenzetu wanakuja tunaitisha kamati ya utendaji soon kuangalia na mengineyo
Ile nafasi uliyotumia kumtaja mama yake ungemtaja yeye basi, hivi mbona mnadharau sana kwa akina mama ninyi?? Natamani nitukane ila si jadi yangu.Ukimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Zile ni pesa za umma, viingilio mnavyotoa ninyi na kodi zenu zinasupport michezo... Na ukizungumzia Serikali hata mimi na wewe ni serikali, so kama kaiba pesa zilizotokana na michezo basi kaibia serikali.Kabisa mkuu,serikali kwanini iingilie mambo ya soka? Kuna pesa ya serikali iliyoliwa? Timu za taifa serikali ilichangia kiasi gani? Mbona viwanja vyote wameikabidhi CCM na pesa wanachukua lkn viwanja viko hovyo? Hapa kuna chuki na ukabila dhidi ya Viongozi wa TFF.Ngoja FIFA iwapige pini akina Kolomije na Machatochato.
ea FIFAUNA MATATIZO WEWWZile ni pesa za umma, viingilio mnavyotoa ninyi na kodi zenu zinasupport michezo... Na ukizungumzia Serikali hata mimi na wewe ni serikali, so kama kaiba pesa zilizotokana na michezo basi kaibia serikali.
We ndo una matatizo, kwan nano kasema zimetoka FIFA?? Msiwe mnadakia bila kuelewa.pesa za viingilioo zimetok
ea FIFAUNA MATATIZO WEWW
Wengine akili sijui ziko wapi yaani.... Kama vile hawakuzaliwa waliangushwa.N
akuomba radhikwaniabayake naombaaaaa sinamama ilanaheshimu mamamaa
Kwa kuwa kosa LA uhujumu uchumi halina dhamana, ngoja tuone.Waje kufanya nini wakati wezi tayari wapo Lupango? FIFA wakae mbali kabisa wasije kuleta balaa