Sipati picha kama na zenji wakipewa namba ya usajili FIFA afu siku hiyo zinakutana , sijui zenji watapiga
wimbo gani wa Taifa, nawaza tu kwa herufi kubwa.
Sio special seat lakini kuwe na namna fulani ya kupanga makundi kwa kuzingatia maeneo.
Huo ni Mpango mkakati kibiashara pia kukuza soka kwenye maeneo mengine.
Maana kama ni ubora basi FIFA wangekuwa wanakata katika ranking zao kutoka moja mpaka 32 ili kupata wanaoenda World Cup