Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Imefahamika Shirikisho la Soka la duniani FIFA, limemzuia Kocha Mkuu mtarajiwa wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina kusaini mkataba wa kukinoa kikosi hicho huku akitimkia kwao jana usiku. Mzambia huyo mwenye mkataba na Klabu ya Zesco Utd ya Zambia, alitua nchini hivi karibuni kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuifundisha Yanga akichukua nafasi ya Mholanzi, Hans van Pluijm aliyeusitisha mkataba wake wa mwaka mmoja wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. [ 299 more words ]
http://dar24.com/siri-za-yanga-na-george-lwandamina-zaende…/

http://dar24.com/siri-za-yanga-na-george-lwandamina-zaende…/
