JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limeifungia Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kutosajili wachezaji mpaka itakapomlipa fidia aliyekuwa kocha wao, Mkuu Ettiene Ndayiragije, mara baada ya kuvunja nae mkataba.