JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Makocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwaHaina shida acha tupigwe tu, maana tumezidi kuokoteza huko nje makocha na wachezaji wa kubabaisha ili hali akina baba Isaya wapo na viwango vyao kila mmoja anaviona na vinapimika.
Wakati mwingine hata timu za Kariakoo huwa sioni umhimu wa kuokota akina Pablo ili hali wana uwezo wa kupeleka akina Matola shule kupata leseni inayokidhi matakwa ya CAF.
Ninakumbuka mwaka juzi TP Mazembe walimpeleka kocha wao akaongeze shule wakati huku kila siku sisi tunapigana vikumbo kutafuta watu wa mataifa mengine
Makocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni
Minziro aliwapandisha daraja wakamweka bench Leo huyo huyo ndo anaisaidia timu kumaliza kwenye nne bora... Makocha wazawa wapewe nafasNa nyinyi timu ndogo ndogo kama Geita Gold, Biashara United, nk. Wakati mwingine acheni kuwaiga tembo (Yanga, simba na Azam) kufanya mambo ambayo yako juu ya uwezo wenu.
Ona sasa mateso mnayopitia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Makocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwa
Akili ya Julio inafanana kabisa na ile ya Alexender Mnyeti. Yaani wamegoma kabisa kuficha chuki zao dhidi ya Yanga, kiasi cha kuonekana ni kituko mbele ya jamii.Makocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwa
Majinga sana.Na nyinyi timu ndogo ndogo kama Geita Gold, Biashara United, nk. Wakati mwingine acheni kuwaiga tembo (Yanga, simba na Azam) kufanya mambo ambayo yako juu ya uwezo wenu.
Ona sasa mateso mnayopitia.
Huyo ni Kubwa Jinga!Makocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwa
Makocha mbona wapo wengi tuu, juzi naibu waziri wa michezo sii amesema kuwa kuna makocha wengi tuu wenye leseni A ya caf nchini na sifa hiyo inawawezesha fundisha nje ya nchiMakocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwa
Lile jamaa lijing.a sana,sijui yanga ilimfanya kitu gani tofauti na mambo ya mpiraMakocha wazawa kina Julio ambaye mpaka sasa haamini Yanga ni bingwa