Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 420
- 829
Nyie mlisema kikwete ni mtu wa mtandao na Edward Lowassa pia alikuwa ni mwanamtandao.vipi leo mnasema kikwete haipendi familia ya Lowassa
Huyo kosa lake ni kutamani kiti Cha magogoni, pia kaliwa kichwa kumtoa mchezoni ili Riz moko abaki pekee kwenye ramaniKwahiyo na kwa makamba ana chuki gani? Maana mwezi wa kwanza naye chali hatua za mapema tuu
Sasa huo mzigo mnakaa nao hadi lini ?Kikwete ni mzigo kwa taifa
OkayKikwete.
Walimtupia Épilepsie yule mzee baada ya Uchaguz tu jamaa akappnaKikwete ana chuki kubwa sana na familia ya Lowasa
Lo……..imekjwa hivyo?Heshima sana wanajamvi.
Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.
Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu.
Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na hasira kali hadi mwili kutetemeka kama mgonjwa wa kifafa.
Mzee wa visasi akaapa kumtia adabu Fred na familia kwa ujumla ambayo iliweza kumpatia nafasi ya kutoa salamu mzee wa anga.
Mzee wa visasi ambaye kwasasa ni Rais nyuma ya Rais anayejulikana akatoa amri kuu CCM wabadili katiba ya kuwawezesha Viongozi wakuu kutengua maamuzi ya wananchi.
Ngongo kwasasa Monduli ndani ya kikao cha marafiki wa Fred tukijadili kwa kina kifuatacho.
Power struggle hiyo 🤣🤣Kwahiyo na kwa makamba ana chuki gani? Maana mwezi wa kwanza naye chali hatua za mapema tuu
Chadema bila kutoa vichambo kwa kikwete inaonekana mtaumwa.Heshima sana wanajamvi.
Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.
Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu.
Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na hasira kali hadi mwili kutetemeka kama mgonjwa wa kifafa.
Mzee wa visasi akaapa kumtia adabu Fred na familia kwa ujumla ambayo iliweza kumpatia nafasi ya kutoa salamu mzee wa anga.
Mzee wa visasi ambaye kwasasa ni Rais nyuma ya Rais anayejulikana akatoa amri kuu CCM wabadili katiba ya kuwawezesha Viongozi wakuu kutengua maamuzi ya wananchi.
Ngongo kwasasa Monduli ndani ya kikao cha marafiki wa Fred tukijadili kwa kina kifuatacho.
Kwa CCM hutakiwi kutaman hicho kitiKwahiyo hawatakiwi kutamani.