Figo ni nini? Kidney)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Kidney from Gray's Anatomy

Figo ni kiungo cha mwili ambacho kazi chake ni cha kutatanisha. Mafigo yanafanya kazi muhimu mbalimbali kwa mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchujia na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile urea) na minerali katika damu na kuchujia hizo, pamoja na maji na mkojo. Kwa maana mafigo yameumbika kuhisi ukolezi wa plazma ya ions kama vile sodiamu, potasiamu,hidrojeni, oksijeni (hewa) na msombo kama vile amino acids, creatinine, bicarbonate na glukosi, mafigo yanasawazisha shinikizo la damu , hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesis (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundi). Sayansi ichunguzayo mafigo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya kigiriki ya zamani, "nefros (νεφρό&#962😉", kitambulishi "-a mafigo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatin rēnēs kumaanisha mafigo.

Muundo wa figo wa kibinadamu


Figo zipo nyuma ya utambi na kipimo chake ni sentimeta 9 mpaka 13 kwa kipenyo, kipimo cha figo ya kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na ubavu wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na tezi ya adrenali zimefunikwa na ngozi mbili zenye mafuta na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo. Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa Kingereza), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoteyote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
Mafigo yanapata damu chafu kwenye mkole wa tumbo ambayo imegawika katika matawi mawili, ateri moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye vena ya damu safi, inayoelekea kwa vena kava ya chini ya kuendelea mpaka moyoni. Damu safi inakadiri asimilia 20-25% ya uzalishaji wa moyo (cardiac out put).

 
Mbona SUPRA RENAL GLANDS haziko? Au hiyo ni kidney ya post op ya mtu aliekuwa na phecromocytoma?
 

Adrenal anatomy and physiology

[TABLE="class: infobox, width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #696969, colspan: 2, align: center"]Adrenal gland[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Endocrine system[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Adrenal gland[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Latin[/TH]
[TD]glandula suprarenalis[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Gray's[/TH]
[TD]subject #277 1278
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]System[/TH]
[TD]endocrine[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FFC0CB"]
[TH]Artery[/TH]
[TD]superior suprarenal artery,middle suprarenal artery,Inferior suprarenal artery[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: yellow"]
[TH]Nerve[/TH]
[TD]celiac plexus, renal plexus[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #90EE90"]
[TH]Lymph[/TH]
[TD]lumbar glands[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #D8BFD8"]
[TH]Precursor[/TH]
[TD]mesoderm, neural crest[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]MeSH[/TH]
[TD]Adrenal+Glands
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Dorlands/Elsevier[/TH]
[TD]Adrenal gland
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…