MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Aug 18, 2023 #21 Kumbe MY WETU wanamchukia bure tu, ona sasa anatibu hadi figo. Naogopa tu hili lisipelekee MY WETU akapanda bei, mambo yakawa magumu.
Kumbe MY WETU wanamchukia bure tu, ona sasa anatibu hadi figo. Naogopa tu hili lisipelekee MY WETU akapanda bei, mambo yakawa magumu.
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Aug 18, 2023 #22 Moisemusajiografii said: Eden Hazard kagoma kwenda kusakata kabumbu Uarabuni kwa sababu kule wanakataza mlo safi wa kitimoto aupendao. Click to expand... Yote tisa, naona hii vita Bwana Nguruwe ameshashinda tayari.... Waarabu walipambana naye kweli kwa miaka zaidi ya 1000 ila bado Nguruwe kakomaa tu....
Moisemusajiografii said: Eden Hazard kagoma kwenda kusakata kabumbu Uarabuni kwa sababu kule wanakataza mlo safi wa kitimoto aupendao. Click to expand... Yote tisa, naona hii vita Bwana Nguruwe ameshashinda tayari.... Waarabu walipambana naye kweli kwa miaka zaidi ya 1000 ila bado Nguruwe kakomaa tu....
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Aug 19, 2023 #23 Nguruwe kashinda vita. Hivi sisi tunaye mfuga tunge mwamini huyo mtu leo hii tungetibiwa vipi ini? Maana angetoweka hapa duniani. Sasa waanze kufuga. Mimi sitoi kiungo cha Nguruwe wangu kwa wanao mpiga vita. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguruwe kashinda vita. Hivi sisi tunaye mfuga tunge mwamini huyo mtu leo hii tungetibiwa vipi ini? Maana angetoweka hapa duniani. Sasa waanze kufuga. Mimi sitoi kiungo cha Nguruwe wangu kwa wanao mpiga vita. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]