DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 86 Feb 21, 2012 #61 We kweli ujui eti unaponda figa yako! Wengine wanaitamani wawe nayo hyo
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,108 Reaction score 370 Feb 22, 2012 #62 figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo
figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Feb 22, 2012 #63 maisha haya mie yangu macho.........dilemma niliachwa njia panda hapa
Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Feb 22, 2012 Thread starter #64 Asanteni kwa ushauri ,ninaamini akipitia comment zote hizo atajua cha kufanya!
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Feb 22, 2012 #65 Ananizidi mimi??! :lol:
Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Feb 22, 2012 #66 Acha hizo mtoto toa mzigo huo, na angalia hata waume za watu huwa wanaoa sio hatari sana wengine wamepigwa na wake zao wanataka wake wengine
Acha hizo mtoto toa mzigo huo, na angalia hata waume za watu huwa wanaoa sio hatari sana wengine wamepigwa na wake zao wanataka wake wengine
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 806 Feb 22, 2012 #67 mgeni10 said: figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo Click to expand... Huhuhuhuhuhu!
mgeni10 said: figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo Click to expand... Huhuhuhuhuhu!