Figure yangu: Inaninyima Usingizi !

Yakuza

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
114
Reaction score
43
Wapendwa

Ninaomba msaada, figure yangu inaninyima usingizi. BF wangu anaelekea kunibwaga, ati anataka kitu portable unajua tena wenzetu..... Nimeenda Gym lakini bado tu!

Ninaomba ushauri......niko very serious !
 
Fanya mazoezi, badili mlo na zaidi amua mwenyewe kwamba unataka kupungua (badili hiyo shepu yako).
 
dada huyo mtu hajakupenda mwombe Mungu atakupa wa kwako, acha uasherati, akikuoa atakusumbua, fikiria alipokuja kwako mara ya 1 alisema anakupenda kuliko wote baada ya kuzini na ww na kumaliza tamaa zake anakwambia anataka portable tumia akili yako, usilazimishe mapenzi, utajuta
 
Kwanza sidhani kama ni sahihi kufanya jitihada za kupungua ili kusudi usiachwe na mwenza. Siku akiamua kukumwaga utaongezeka uzito kiasi cha kukutoa roho. Sababu nzuri ni kupungua uzito kwa sababu za kiafya kwani uzito mkubwa ni risk mojawapo inayochangia magonjwa ya lifestyle yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, presha, kansa n.k.
Fuata ushauri wa Lizzy hapo, ututumie picha za brand new u!
 
Ndiyo maana ninaomba ushauri
 
Punguza chips yai kuku biere masoseji minguruwe mirost maini minyama choma soda bali ongeza mazoezi si ya gym ya kutembea kukimbia(troti) kula matunda kwa sana,ni kweli hata me ukiwa tipwa tipwa shape kama ya michelin nakumwaga tu
 
Sasa huyu kiapo cha ndoa atakiweza kweli......For nyama uzembe and for kitambi.....For kipara and for stretch marks......until death do us apart.
 
Wakati mwingne 2jaribu kufanya kitu kwa faida zetu na sio eti kwa vile fulani anataka iwe hvo, dadaangu ni bora kupunguza unene kuepuka risk za magonjwa kama king'ast alivoshauri na sio usiachwe, (LOVE YOURSELF MORE THAN OTHERS DO FOR YOU)
 
Ahaaa menapenda shepu kama yako kama vp njoo kwangu bebi
 
Wapendwa

Ninaomba msaada, figure yangu inaninyima usingizi. BF wangu anaelekea kunibwaga, ati anataka kitu portable unajua tena wenzetu..... Nimeenda Gym lakini bado tu!

Ninaomba ushauri......niko very serious !

ati yeye hakitaki wakati wengine wanasema watakipata lini. mfikishie salamu huyo BF wako
 
Aisee mwache mpenda portable uje kwangu mpenda chubby plumpy gal..ucje ukapata puresha bure mrembo wangu. Akikuona wa kazi gani mie najiuliza ntakupata lini..
 
Dah, unajua kuna unene wa asil hata uki fanya mazoez vip utapungua kidogo then utanawir tena cha msing upate m2 atae kupenda kwa dhat, atakae penda umbo lako na tabia yako, inaonekana the guy ame fall out ov luv.
 
fanya mazoezi kwa ajili ya afya yako si kwa kumridhisha mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…